Ijumaa, 25 Desemba 2015

CHAPATI ZA MAJI(PANCAKES)

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Unga wa ngano nusu kilo  1/2 kilogram of All Purpose flour 2.Kitunguu maji kikubwa 1  1 big Onion 3.Pilipili boga 1  1 Green pepper 4.Karoti 1  1 Carrot 5.Yai 1  1 Egg 6.Chumvi cha chakula 1  1 Tbsp of Salt 7.Mafuta nusu kikombe  1/2 cup of Cooking oil 8.Maji kikombe kikubwa 1 au...

Ijumaa, 25 Desemba 2015

MAKARONI YA MADUARA YA NYAMA YA KUSAGA(MEAT BALLS MACARONI)

MAHITAJI 1.Pakti ya Macaroni 2.Nyama ya kusaga robo 3.Kitunguu maji kidogo 1 4.Kitunguu thomu punje 3 5.Karoti kubwa kiasi 1 6.Pilipili boga 1 7.Nyanya(Tungule) kubwa 3 8.Mafuta robo kikombe 9.Chumvi kijiko cha chakula 1 na 1/2 10.Ndimu 1 11.Nyanya ya paketi robo 12.Royco pakti 1 13..Maji lita moja MAANDALIZI 1.Osha Viungo vyote vinavyohitajika...

Jumanne, 22 Desemba 2015

VANILLA MILK SHAKE

P { margin-bottom: 0.21cm; }P.western { } MAHITAJI 1.Ndizi mbivu 2 2.Maziwa pakti 1 3.Sukari kijiko cha chakula 1 4.Arki Vanilla kijiko cha chai 1 5.Custard kijiko cha chakula 1 9.Vipande vya barafu MAANDALIZI 1.Osha ndizi zikiwa na maganda yake vizuri 2.Menya ndizi na uikate kisha weka kwenye jagi la blender 4.Mimina...

Jumanne, 22 Desemba 2015

NDIZI MBIVU(HOW TO COOK PLANTAIN WITH COCONUT MILK)

P { margin-bottom: 0.21cm; }P.western { } MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Ndizi mbivu(Mkono wa tembo) 4  4 Plantains  2.Nazi kubwa 1  1 Large Fresh Coconut 3.Sukari kikombe kidogo 1  1 Small Cup Sugar 4.Arki Vanilla kijiko cha chai 1  1 Tea Spoon Vanilla  5.Chumvi kiduchu  Pinch of Salt 6.Hiliki punje...

Jumanne, 22 Desemba 2015

MISHKAKI(BARBEQUE)

MAHITAJI 1.Nyama kilo 1 2.Mafuta kikombe kidogo cha chai 1 3.Tangawizi kubwa 1 4.Kitunguu thomu kikubwa 1 5.Chumvi kiasi 6.Royco pakti 2 7.Binzari nyembamba ya unga(Uzile) vijiko vya chakula 4 8.Ndimu kubwa 2 9.Chumvi kiduchu MAANDALIZI 1.Kata kata nyama yako vipande ukubwa upendao weka kwenye chombo safi 2.Menya Tangawizi na vitunguu thomu na...

Jumatatu, 21 Desemba 2015

VILEJA VYA ROUND(HOW TO MAKE PINWHEEL COOKIES)

P { margin-bottom: 0.21cm; }P.western { }A:link { } MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Blue Band gram 300    Blue Band 300 gram 2.Sukari gram 250   Sugar 250 gram 3.Mayai2   2 Eggs 4.Unga wa ngano 1Kg   Flour 1Kilogram 5.Cocoa nusu kikombe   Half cup of Cocoa powder 6.Arki Vanilla kijiko cha chai 2  ...

Jumatatu, 21 Desemba 2015

MKATE WA SAMAKI(CHICKEN BREAD)

MAHITAJI 1.Unga wa ngano robo kilo 2.Samaki  vibua 3 3.Samli vijiko vya chakula 2 4.Ufuta robo kikombe 5.Yai 1 6.Chumvi vijikovya chakula 2 7.Karoti 1 8.Pilipili Boga(Pilipili hoho) 1 9.Pilipili Manga punje 10 10.Hamira vijiko vya chakula 2 11.Sukari kijiko cha chai 1 12.Maziwa ya unga vijiko vya chakula 2 13.Ndimu 1 14.Mdalasini wa unga kijiko...

Alhamisi, 10 Desemba 2015

MCHEMSHO WA KUKU(BOILED GREEN BANANAS WITH CHICKEN MIXTURE)

MAHITAJI 1.Ndizi Malindi 6 2.Viazi Mbatata 2 3.Nyanya(Tungule) 3 4.Karoti 1 5.Pilipili Boga(Pilipili hoho) 1 6.Kuku robo 7.Tangawizi ilosagwa kijiko kidogo cha chai 1 8.Kitunguu maji 1 9.Kitunguu thomu punje 4 10.Chumvi kijiko 1 11.Maji nusu lita 2 13.Pilipili ya unga au pilipili yoyote MAANDALIZI 1.Weka Maji lita 1 kwenye beseni tumbukiza ndizi...

Alhamisi, 10 Desemba 2015

KUKU LAINII WA KUKAANGA(FRIED SOFT CHICKEN)

MAHITAJI 1.Kuku nusu(Vidali 2) 2.Chumvi kijiko 1 3.Pilipili ya unga kijiko 1 4.Pilipili Manga nusu kijiko 5.Blue band kijiko 1 6.Mtindi robo kikombe 7.Mafuta nusu lita 8.Chicken Masala kijiko 1 9.Tangawizi ya unga kijiko 1 MAANDALI 1.Muoshe kuku vizuri na muweke kwenye bakuli safi 2.Weka blue band kwenye frying pan iache iyayuke   3.Muweke...

Alhamisi, 10 Desemba 2015

NDIZI NA SAMAKI(BOILED GREEN BANANA AND FRIED FISHES)

MAHITAJI 1.Ndizi Malindi 8  8 Fresh Green Banana 2.Samaki(Tasi) 2  2 Fishes 3.Pilipili ya kuwasha   2 Red chillis pepper 4.Kitunguu Thomu punje 4  4 Garlic clove 5.Chumvi vijiko   2 Tbsp of salt 6.Maji 1500ml(Lita 1 na 1/2)  Water 1 and 1/2 litre 7.Ndimu 1  1 Lemon 8.Pilipili manga  Black...

Jumatatu, 7 Desemba 2015

WALI NA MCHUZI WA NAZI(COOKING RICE WITH ROASTED COCONUT FISH)

MAHITAJI 1.Mchele robo kilo 2.Nazi 1 3.Samaki kibua wa kukaanga 2 4.Nyanya(Tungule) kubwa 3 5.Karoti kubwa 1 6.Pilipili hoho(Pilipili boga) 1 7.Kitunguu maji kikubwa 1 8.Kitunguu thomu 9.Maji kiasi 10.Chumvi 11.Ndimu 12.Bamia 13.Nyanya chungu 14.Maji kiasi MAANDALIZI 1.Chagua mchele vizuri kisha ukoshe na weka pembeni 2.Para au saga nyanya weka...

Jumatatu, 7 Desemba 2015

CHATNE YA KAROTI(SIMPLE HOMEMADE CARROT CHUTNEY)

✨  🌰 INGREDIENTS IN ENGLISH For people who like chilli like me 😜 🌸1. 6 carrots🌸2. Tomato paste 2 tablespoon🌸3. Chilli flakes 1 tablespoon🌸4.Salt 1 teaspoon or more if you want🌸5. Mustards seeds 1 teaspoon🌸6.Garlic paste 1 tablespoon🌸7. Olive oil 4 tablespoon🌸8.Fresh coriander some chopped🌸9. Fresh chillies...

Jumatatu, 7 Desemba 2015

SAMAKI WA KUKAANGA(FRIED FISH)

MAHITAJI/ INGREDIENTS 1.Samaki 4  4 Fishes 2.Mafuta kikombe kikubwa 1  1 Cup of Olive Oil 3.Chumvi nusu kijiko cha chakula  1/2 Tbsp of Salt 4.Pilipili 2  2 Red Chilli 5.Ndimu kubwa 1  1 Medium Lemon 6.Kitunguu thomu punje 4  4 pieces of Garlic 7.Soy sauce kijiko kimoja  1 Tbsp of Soy sauce 8.Pilipili...

Jumatatu, 7 Desemba 2015

NJUGU MAWE ZA SUKARI

MAHITAJI 1.Njugu mawe robo kilo 2.Nazi 1 3.Hiliki punje 10 4.Sukari vijiko vya chakula 5 5.Custard kijiko cha chai kimoja 6.Arki (Vanilla)kijiko cha chai 1 7.Chumvi kiduchu MAANDALIZI 1.Chagua njugu mawe zako toa mawe yote 2.Weka kwenye chombo na uzikoshe vizuri 3.Kuna nazi na chuja nazi tui zito kikombe kikombe kidogo cha chai na kisha lilobakia...

Ijumaa, 4 Desemba 2015

MCHUZI WA ROSTI YA MAINI(ROASTED BEEF LIVER)

MAHITAJI(INGREDIENTS) 1.Maini nusu kilo   Half kilo of beef liver 2.Nyanya(Tungule) kubwa 3   3 Medium size of Tomato 3.Viazi mbatata vikubwa 4   4 Medium size of potatoes 4.Kitunguu maji kikubwa 1   1 Medium size of Onion  5.Kitunguu thomu kilosagwa kijiko 1   1 Tbsp of grinded garlic 6.Tangawizi ilotwangwa...

Alhamisi, 3 Desemba 2015

MATUNDA(FRUITS)

MAHITAJI 1.Parachichi vipande 2 2. Nanasi vipande 2 3.Papai vipande 2  4.Tikiti maji vipande 2  5.Ndizi vipande 2  6.Tango vipande 2  7.Karoti vipande 2  8.Embe vipande 2  JINSI YA KUANDAA 1.Chukua sahani uipendayo 2.Kata kata kila tunda vipande viwili umbo upendalo 3.Panga kwenye sahani yako kwa muonekano wa kuvutia 4.Unaweza...

Jumatano, 2 Desemba 2015

MIHOGO YA KUCHEMSHA NA SAMAKI WA KUKAANGA(BOILED CASSAVA WITH FRIED FISH)

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Mihogo Vipande 12  Fresh Cassava 12 pieces 2.Samaki(Changu wadogo) 4  4 Fresh Changu fish 3.Maji Nusu Lita     Water 500ml   4.Chumvi Vijiko Vya Chakula 2    Salt 2 tbl spoon 5.Mafuta ya kupikia Kikombe 1   Cooking Oil 1 cup 7.Pilipili Vijiko 4 Ukipenda  Chilli sauce(Option)...

Jumatano, 2 Desemba 2015

NUTELLA BRAIDED STAR

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Unga wa Ngano Vikombe 4   4 Cups Plain Purpose Flour 2.Maziwa ya maji Kikombe 1  1 Cup Milk 3.Mayai 2  2 Eggs 4.Hamira Vijiko vya Chakula 2  2 Tbsp Yeast 5.Siagi Vijiko 2  2 Tbsp Butter 6.Sukari Nusu Kikombe  ½ Cup Sugar 7.Chumvi Kiduchu  Pinch of Salt 7.Chocolate...