
MAHITAJI
1.Samaki umpendae
2.Pilipili ya kuwasha 1
3.Vitunguu thomu punje2
4.Chumvi kiasi
5.Ndimu 1 kubwa
6.Mafuta kikombe kikubwa 1
7.Unga wa sembe robo
8.Maji kiasi
MAANDALIZI
1.Osha Samaki wako baada ya kumpara na kuondoa Maganda yote
2.Mkate Kate au mpasue tu ili aweze kuingia Viungo vizuri
3.Twanga Pilipili, Kitunguu thomu na Chumvi kisha...