Ijumaa, 29 Aprili 2016

CHINESE RICE

MAHITAJI 1.Mchele wa Basmat nusu kilo(1/2 kg) 2.Mafuta kiasi 3.Viazi mbata vidogo 10 4.Mayai 3 5.Sosej 3 6.Vitunguu maji vikubwa 2 7.Karoti kubwa 1 8.Njegere kikombe 1 9.Green Beans 4 10.Pilipili Boga  11.Maji kiasi 12.Chipsi MAANDALIZI 1.Menya viazi vioshe na vikate kwa umbo la chipsi 2.Katakata keroti mbali,pilipili boga mbali,vitunguu...

Alhamisi, 28 Aprili 2016

WALI WA VIUNGO

MAHITAJI 1.Mchele wa Basmat Robo(1/4 kg) 2.Mafuta ya kula robo lita 3.Kitunguu maji kikubwa 1 4.Karoti kubwa 1 5.Pilipili Hoho(Pilipili boga) kubwa 1 6.Chumvi vijiko vikubwa 2 7.Uzile mzima(Binzari Nyembamba) kijiko kidogo 1 8.Mdalasini mzimakijiko kidogo 1 9.Hiliki punje 10 10.Giligilani nzima punje 15 11.Viazi Mbatata vidogo 8 MAANDALIZI 1.Osha...

Jumatano, 27 Aprili 2016

HOW TO COOK CHICKEN MAKANGE(MAKANGE YA KUKU)

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Kuku 1  1 Whole Chicken 2.Mafuta lita 1  1 Litre Cooking Oil 3.Tangawizi iliotwangwa(kusagwa) vijiko vikubwa 3  3 Tbsp Mashed Ginger 4.Kitunguu thomu kilotwangwa(kusagwa) kijiko kikubwa 1  1 Tbsp Mashed Garlic Cloves 5.Kitunguu maji kikubwa 1  1 Large Onion 6.Karoti kubwa 1  1...

Jumatatu, 25 Aprili 2016

COOKING GREEN BANANA WITH CHICKEN (NDIZI KUKU ZA TUI LA NAZI)

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Ndizi mbichi 12(Malindi)  12 Green Banana 2.Kuku Nusu  Half of Chicken in pieces 3.Nyanya kubwa(Tungule) 4  4 Medium sized Tomatoes 4.Nazi moja kubwa  1 Coconut (OR)coconut powder 5.Ndimu 1  1 Lemon 6.Karoti 1  1 Carrot 7.Pilipili Hoho(Pilipili boga)1  1 Green Pepper 8.Kitunguu maji...

Jumatatu, 25 Aprili 2016

HOW TO COOK ZEGE(CHIPSI ZEGE)

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Viazi mbatata vikubwa 10  10 Medium size Potatoes 2.Mayai 2  2 Eggs 3.Mafuta nusu lita   1/2 Litre of cooking oil 4.Karoti 1   1 Carrot 5.Pilipili Boga(Pilipili hoho) ndogo 1   1 small size Green pepper 6.Kitunguu maji kidogo 1   1 small sized Onion 7.Chumvi kijiko chai 1   1...

Ijumaa, 22 Aprili 2016

CHAPATI ZA TUI LA NAZI

MAHITAJI 1.Unga wa ngano nusu kilo 2.Tui la nazi ml 500 3.Chumvi kijiko cha chakula 1na nusu 4.Sukari nusu kijiko cha chakula 5.Samli kikombe kidogo cha chai 1 6.Mafuta ya kupikia nusu kikombe    MAANDALIZI 1.Chunga unga wako weka kwenye chombo cha kukandia na punguza kikombe kimoja kidogo cha unga mkavu pembeni kwa ajili ya kusukumia 2.Weka...

Jumatatu, 4 Aprili 2016

VIAZI MBATATA NA MAYAI(EGG AND ROASTED FRIED POTATOES)

MAHITAJI Mbatata 8 Nyanya(Tungule) ndogo 2 Chumvi kijiko kidogo 1 Mafuta vijiko vya chakula 4 Tomato paste kijiko cha chakula 1 Yai 1 Kitunguu maji kidogo 1 Royco kijiko 1 Karoti ndogo 1 Pilipili boga(Pilipili hoho) ndogo 1 MAANDALIZI Osha viungo vyako vyote weka kenye bakuli safi Menya viazi mbatata na...

Jumatatu, 4 Aprili 2016

NGISI WA KUKAANGA(FRIED CUTTLEFISH)

MAHITAJI 1. Ngisi Wadogo 2  2 Small Size Cuttlefish 2. Pilipili Mbuzi 2  2 Red Chilli 3. Chumvi kijiko kidogo 1  1 Tea spoon Salt 4. Mafuta robo lita  1/4 Litre of Cooking Oil MAANDALIZI/PREPARATION 1. Osha Ngisi vizuri kisha waweke kwenye bakuli     Wash the cuttlefish and put them in clean vessel 2. Kata...

Ijumaa, 1 Aprili 2016

HOW TO MAKE FRUIT ZANZIBAR STYLE(JINSI YA KUTENGEZA FRUIT)

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Papai Dogo 1  1 Medium Size Paw paw 2.Ndizi Mbivu 2   2 Ripped Banana 3.Tango Kubwa 1   1 Large Cucumber 4.Karanga(Njugu) kiasi  Little Ground Nuts(Half cup) 5.Maziwa Mazito(Condensed Milk) Sona/Luna Vijiko 6   6 Tbsp of Condensed Milk MAANDALIZI/PREPARATION 1.Osha ...

Ijumaa, 1 Aprili 2016

SUPU YA SAMAKI

MAHITAJI/INGREDIENTS 1. Samaki Vipande 3  3 Pieces of Fish 2. Keroti ndogo 1  1 Carrot 3. Pilipili Hoho(Pilipili boga) 1  1 Green Pepper 4. Viazi Mbatata 3  3 Potatoes 5. Kitunguu thomu Punje 2  2 Cloves Garlic 6. Ndimu 1  1 Lemon 7. Tangawizi ilotwangwa kijiko kidogo 1  1 Tbsp grinded Ginger 8. Maji Lita...