Jumanne, 26 Januari 2016

MIKATE YA UFUTA

MAHITAJI 1.Unga wa ngano nusu 2.Nazi kubwa 1 3.Hamira vijiko vya chakula 2 4.Chumvi kijiko cha chakula 1 5.Mafuta nusu kikombe cha chai 6.Ufuta nusu kikombe cha chai 7.Maji kiasi MAANDALIZI 1.Kuna nazi na chuja kwenye chombo ujazo wa jagi dogo la maji 2.Chekecha unga wako vizuri kwenye bakuli safi 3.Weka chumvi na uchanganye unga...

Jumanne, 26 Januari 2016

MEAT-ROLL ZA SIAGI NA NYAMA(BUTTER MEAT-ROLL WITH GROUND BEEF)

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Siagi robo  1/4 kg Butter(Margarine)2.Nyama ya kusaga robo 1/4 Ground Beef3.Unga wa ngano Nusu 1/2 kg Flour4.Mayai 3 3 Eggs5.Chumvi vijiko 2 2 Tbsp  of salt6.Karoti 1 1 Carrot7.Pilipili boga 1 1 Green pepper8.Kitunguu thomu punje 3  3 garlic cloves9.Pilipili ya kuwasha 1 1...

Jumanne, 26 Januari 2016

KISAMVU

MAHITAJI 1.Mboga ya Kisamvu kiasi 2.Nazi ndogo moja 3.Karoti ndogo 1 4.Kitunguu maji 1 5.Kitunguu thomu punje 5 6.Pilipili boga(Pilipili hoho) ndogo 1 7.Nyanya kubwa(Tungule) 1 8.Sukari kijiko kidogo 1 9.Chumvi vijiko kikubwa 2 10.Maji kiasi MAANDALIZI 1.Osha mboga yako vizuri kisha iweke kwenye kinu 2.Twanga mboga yako na chumvi kijiko kimoja...

Jumatano, 6 Januari 2016

WALI WA ROSTI(ROASTED RICE)

MAHITAJI 1.Mchele robo 2.Nyama Robo 3.Nyanya(Tungule) kubwa 3 4.Karoti 1 5.Pilipili boga (Pilipili Hoho) 1 9.Kitunguu maji kidogo 1 10.Nyanya pakti vijiko vya chakula 3 11.Vitunguu thomu punje kubwa 3 12.Chumvi kiasi 13.Mafuta vijiko vya chakula 3 14.Tangawizi iliotwangwa kijiko cha chakula 1 15.Viazi mbata vidogo 6 16.Maji kikombe kikubwa...

Jumatano, 6 Januari 2016

KEKI YA FRUITS ISIYOKOZA(LIGHT FRUITS CAKE)

MAHITAJI 1.Blue band robo 2.Sukari robo 3.Mayai 6 4.Baking powder kijiko cha chakula 1 5.Unga wa ngano nusu 9.Arki Vanilla kijiko 1 10.Arki ya Ice cream kijiko 1 11.Fruit za keki robo kikombe cha chai 12.Chumvi kiduchu 13.Sukari ya Dandii robo kikombe kidogo cha chai MAANDALIZI 1.Chunga unga wa ngano weka baking powder na chumvi...

Jumatano, 6 Januari 2016

CHIPSI NA YAI LA KUVURUGA(SCRAMBLED EGGS WITH CHIPS)

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Viazi mbatata vikubwa 8  8 Medium size Potatoes 2.Mayai 2  2 Eggs 3.Nyanya za Mchuzi(Tungule) 2  2 Fresh Tomatoes 4.Nyanya ya pakti vijiko 2   2 Tbsp Tomato Paste 5.Karoti 1   1 Carrot 9.Pilipili Boga(Pilipili hoho) ndogo 1   1 small size Green pepper 10.Chumvi kijiko chai 1  ...

Jumatano, 6 Januari 2016

VIAZI VITAMU

MAHITAJI 1.Viazi vitamu vikubwa 5 2.Nazi pakti 1 3.Sukari vijiko vha chakula 5 4.Arki Vanilla kijiko cha chai 1 5.Custard kijiko cha chakula 1 9.Hiliki punje 10 10.Chumvi kijiko cha chai 1 11.Maji kiasi MAANDALIZI 1.Menya viazi na uvikate vipande vidogo vidogo 2.Vioshe na uviweke kwenye sufuria safi na maji kiasi 4.Menya na utwange hiliki...