Jumamosi, 3 Desemba 2016

KEKI RAHISI YA VANILLA NA COCOA(SIMPLE VANILLA AND COCOA CAKE)

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Siagi Robo kilo(1/4 Kg)   1/4Kg Butter 2.Sukari Robo kilo(1/4 Kg)  1/4 Kg Sugar 3.Unga Robo kilo(1/4 Kg)  1/4 Kg Plain Purpose Flour 4.Mayai 6  6 Eggs 5.Arki Vanilla Kijiko cha chai 1  1 Tea Spoon Vanilla Essence 6.Cocoa Vijiko vya Chakula 3  3 Tbsp Cocoa Powder 7.Baking...

Jumatano, 23 Novemba 2016

MAHARAGE YA KUKAANGA(FRIED BEANS WITH COCONUT MILK)

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Maharage 1/4 Kg   1/4 Kg Fresh Beans 2.Tui Jepesi Kikombe Kikubwa 1   1 Mug Light Coconut Milk 3.Tui Zito 1/4 Kikombe   1/4 Mug Heavy Coconut Milk 4.Kitunguu thomu Kilotwangwa kijiko cha chai 1   1 Tea spoon Mashed garlic 5.Kitunguu maji kilokatwa 1   1 Sliced Onion 6.Pilipili boga ilokatwa...

Alhamisi, 3 Novemba 2016

MIKATE YA MAZIWA (MILK BREAD)

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Unga wa Ngano 550gm   Plain Purpose Flour 550gm 2.Maziwa 300ml  Milk 300ml 3.Sukari Vijiko 4  Sugar 4 Tbsp 4.Hamira Vijiko 2   Yeast 2 Tbsp 5.Chumvi Kijiko Cha Chai 1/2   Salt 1/2 Tea Spoon 6.Mayai 2  Eggs 2 7.Maziwa ya Unga Vijiko 2   Milk Powder 2 8.Ufuta Kijiko 1   Sesame...

Jumatano, 26 Oktoba 2016

MAANDAZI YA KUOKA(MAANDAZI MAKAVU) BAKED ANDAZI

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Unga wa ngano nusu Flour 1/2 Kg 2.Sukari Kikombe cha Rice Cooker 1   Sugar 1 Cup of Rice Cooker 3.Hiliki punje 10  10 pieces Cardamon   4.Samli ya Aseel kijiko 1 cha chakula   1 Tbsp Aseel Ghee 6.Tui la nazi glasi ndogo 1   1 Glass Coconut Milk 7.Hamira Pakti 1   1 Packet Yeast MAANDALIZI/PREPARATIONS 1.Chekecha...

Jumamosi, 15 Oktoba 2016

UROJO(ZANZIBAR MIX)

Urojo ni mchanganyiko wa vyakula mbali mbali pamoja na uji uji wake katika bakuli moja. Hapa nitaeleza jinsi ya kuupika huo uji(urojo) mpaka kukamilika kwake. Asili ya urojo ni India ila kwa sasa nchi mbali mbali zina andaa upishi huu. Na Zanzibar ni mlo unaopendwa na maarufu sana.Na hii ndio aina ya urojo unaopikwa Zanzibar. Zanzibar Mix(Urojo)...

Alhamisi, 15 Septemba 2016

JUISI AU MILK SHAKE YA TENDE(DATES MILK SHAKE)

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Tende 20  20 Dates 2.Maziwa Glasi 1 na nusu  1 and 1/2 Glass of Milk 3.Karanga zilosagwa robo kikombe  Quater Cup of  Crushed Ground nuts  4.Arki Pine Apple robo kifuniko cha chupa yake  Pine Apple Essence 1/2 Cap(Caps of Pine Apple Essence Bottle) 5.Maji Ya Uvugu...

Jumanne, 16 Agosti 2016

BUTTER BALLS

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Siagi 250gm  Margarine 250gm 2.Sukari Vikombe 2 vya Rice Cooker    Sugar 2 Cups(Rice Cooker Cup) 3.Unga wa Ngano vikombe 5 vya Rice Cooker   Plain Flour 5 Cups(Rice Cooker Cup) 4.Jam Robo Kikombe Cha Chai    Jam 1/4 Small Cup 5.Karanga(Njugu) Zilopikwa Kikombe kidogo...

Alhamisi, 11 Agosti 2016

KACHORI

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Viazi Mbatata Nusu  1/2 Kg Potatoes(Russets) 2.Unga wa Ngano Kikombe Kikubwa 1  1 Mug Plain Flour 3.Mafuta Ya Kupikia Lita 1   1 Litre Cooking Oil 4.Ndimu Kubwa 1   1 Lemon 5.Pilipili za Kuwasha 2  2 Red Chillies 6.Kitunguu Thomu Punje Kubwa 1  1 Garlic Cloves 7.Chumvi Kiasi  Salt...

Jumatano, 10 Agosti 2016

MCHUZI WA NAZI WA PWEZA(OCTOPUS COCONUT MILK SAUCE)

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Pweza nusu kilo  1/2 Kg Octopus 2.Tui Jepesi Kikombe Kikubwa 1  1 Mug Light Coconut Milk 3.Tui Zito Kikombe Cha Chai 1  1 Cup Heavy Coconut Milk 4.Nyanya za Mchuzi(Tungule) kubwa 3  3 Medium Size Tomato 5.Kitunguu maji Kikubwa kiasi 1  1 Medium Size Onion 6.Kitunguu thomu Punje...

Ijumaa, 5 Agosti 2016

BIRIANI YA NYAMA YA NGOMBE(COW FILLET BIRIANI)

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Mchele wa Basmat Kilo  1 Kg Basmat Rice 2.Nyama ya Ngombe Kilo 1 na Nusu(Stake)  1 1/2 Kg Cow Fillet 3.Vitunguu Maji Nusu Kilo  1/2 Kg Onion 4.Vitunguu thomu Vijiko vya Chakula 2  2 Tbsp Mashed Garlic Cloves 5.Tangawizi Kijiko cha chakula 1  1 Tbsp Mashed Ginger  6.Chumvi kiasi  Salt...

Alhamisi, 4 Agosti 2016

NANGATAI

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Siagi 250gm  Butter 250gm 2.Samli 250gm   Ghee 250gm 3.Sukari Vikombe 2 na nusu    Sugar 2 1/2 Cups 4.Unga wa Ngano vikombe 10 vilivyojaa   Plain Flour 10 Cups(Full) 5.Unga wa Semolina vikombe 2 na nusu   Semolina Flour 2 1/2 Cups 6.Rangi nyekundu kiduchu   A pinch...

Jumatatu, 1 Agosti 2016

MIKATE YA KOPA (LOVE BUNS)

MAHITAJI/INGREDIENTS Mikate/Buns 1.Unga wa Ngano 400gm  400gm Plain Flour  2.Chumvi  Kijiko Cha Chakula 1/2  1/2 Tbsp Salt 3.Hamira Kijiko Cha Chakula 1 1/2 1 1/2  Tbsp Yeast 4.Maziwa Kikombe kidogo Cha Chai 1  1 Small Cup Milk 5.Sukari  Kijiko Cha Chai 1/2  1/2 Tea spoon Sugar 6.Siagi...