Jumanne, 16 Agosti 2016

BUTTER BALLS

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Siagi 250gm  Margarine 250gm 2.Sukari Vikombe 2 vya Rice Cooker    Sugar 2 Cups(Rice Cooker Cup) 3.Unga wa Ngano vikombe 5 vya Rice Cooker   Plain Flour 5 Cups(Rice Cooker Cup) 4.Jam Robo Kikombe Cha Chai    Jam 1/4 Small Cup 5.Karanga(Njugu) Zilopikwa Kikombe kidogo...

Alhamisi, 11 Agosti 2016

KACHORI

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Viazi Mbatata Nusu  1/2 Kg Potatoes(Russets) 2.Unga wa Ngano Kikombe Kikubwa 1  1 Mug Plain Flour 3.Mafuta Ya Kupikia Lita 1   1 Litre Cooking Oil 4.Ndimu Kubwa 1   1 Lemon 5.Pilipili za Kuwasha 2  2 Red Chillies 6.Kitunguu Thomu Punje Kubwa 1  1 Garlic Cloves 7.Chumvi Kiasi  Salt...

Jumatano, 10 Agosti 2016

MCHUZI WA NAZI WA PWEZA(OCTOPUS COCONUT MILK SAUCE)

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Pweza nusu kilo  1/2 Kg Octopus 2.Tui Jepesi Kikombe Kikubwa 1  1 Mug Light Coconut Milk 3.Tui Zito Kikombe Cha Chai 1  1 Cup Heavy Coconut Milk 4.Nyanya za Mchuzi(Tungule) kubwa 3  3 Medium Size Tomato 5.Kitunguu maji Kikubwa kiasi 1  1 Medium Size Onion 6.Kitunguu thomu Punje...

Ijumaa, 5 Agosti 2016

BIRIANI YA NYAMA YA NGOMBE(COW FILLET BIRIANI)

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Mchele wa Basmat Kilo  1 Kg Basmat Rice 2.Nyama ya Ngombe Kilo 1 na Nusu(Stake)  1 1/2 Kg Cow Fillet 3.Vitunguu Maji Nusu Kilo  1/2 Kg Onion 4.Vitunguu thomu Vijiko vya Chakula 2  2 Tbsp Mashed Garlic Cloves 5.Tangawizi Kijiko cha chakula 1  1 Tbsp Mashed Ginger  6.Chumvi kiasi  Salt...

Alhamisi, 4 Agosti 2016

NANGATAI

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Siagi 250gm  Butter 250gm 2.Samli 250gm   Ghee 250gm 3.Sukari Vikombe 2 na nusu    Sugar 2 1/2 Cups 4.Unga wa Ngano vikombe 10 vilivyojaa   Plain Flour 10 Cups(Full) 5.Unga wa Semolina vikombe 2 na nusu   Semolina Flour 2 1/2 Cups 6.Rangi nyekundu kiduchu   A pinch...

Jumatatu, 1 Agosti 2016

MIKATE YA KOPA (LOVE BUNS)

MAHITAJI/INGREDIENTS Mikate/Buns 1.Unga wa Ngano 400gm  400gm Plain Flour  2.Chumvi  Kijiko Cha Chakula 1/2  1/2 Tbsp Salt 3.Hamira Kijiko Cha Chakula 1 1/2 1 1/2  Tbsp Yeast 4.Maziwa Kikombe kidogo Cha Chai 1  1 Small Cup Milk 5.Sukari  Kijiko Cha Chai 1/2  1/2 Tea spoon Sugar 6.Siagi...