Jumanne, 31 Mei 2016

KUKU WA TANDOORI(TANDOORI CHICKEN)

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Kuku Mzima  A whole Chicken 2.Tandoori(Rangi Nyekundu ya Unga) Robo Kijiko Cha  Chai 1    1/4 Tea spoon Tandoori Powder 3.Chumvi Kiasi   Salt to taste 4.Vinegar  Vijiko  Vya  Chakula  2   2 Tbsp Vinegar   5.Pilipilili ya kutwangwa  Kijiko ...

Jumatano, 18 Mei 2016

SHRIMPS RICE(WALI WA KAMBA)

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Kamba wakubwa kiasi 30  30 Medium size shrimps 2.Mchele Kikombe Kimoja  1 Cup uncooked rice 3.Keroti kubwa 1  1 Carrot 4.Pilipili Boga kubwa 1  1 Medium size Green Pepper 5.Kitunguu kikubwa 1   1 Medium size Onion 6.Ndimu ilokamuliwa kijiko 1  1 Tbsp Lemon juice 7.Pilipili inayowasha 1  1...

Jumamosi, 14 Mei 2016

FAGI ZA CHOCOLATE(DOUBLE CHOCOLATE FUDGE)

MAHITAJI/INGREDIENTS. 1.Chocolate Nyeusi vipande 20   20 bars Dark Chocolate 2.Chocolate Nyeupe vipande 18   18 bars white Chocolate 3.Peanut butter kijiko cha chakula 1    1 Tbsp Peanut butter 4.Blue band kijiko cha chai 1   1 Tea spoon Butter MAANDALIZI/PREPARATIONS. 1.Chukua tray ya pembe nne weka foil...

Alhamisi, 12 Mei 2016

CAKE DOUGHNUTS(DONAS ZA BLUE BAND) ZANZIBAR STYLE

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Siagi robo   Blue Band 250gm 2.Unga wa Ngano kilo kasorobo   750gm Plain Flour 3.Sukari ya Unga Kikombe kikubwa 1    1 Mug Icing Sugar 4.Kungu Manga 2   2 Nutmeg 5.Yai 1   1 Egg 6.Maziwa robo lita   1/4 Litre  Milk 7.Baking Powder kijiko 1   1 Tbsp Baking Powder 8.Chumvi...

Jumanne, 10 Mei 2016

CHAPATI ZA MAZIWA

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Unga wa Ngano 200gm  200gm of All Purpose flour 2.Hiliki punje 5 5 pieces of cardamon 3.Yai 1  1 Egg 4.Maziwa kikombe kidogo cha chai 1 na robo  1 1/4 small cup of Milk 5.Sukari kijiko cha chakula kimoja 1  1 Tbsp of sugar 6.Mafuta Nusu Kikombe  1/2 cup of Oil MAANDALIZI/PREPARATION 1.Chukua...

Jumatatu, 9 Mei 2016

KAMBA WA KUKAANGA(FRIED SHRIMPS)

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Kamba kiasi  Little amount of Shrimps 2.Pilipili Mbuzi iliotwangwa kijiko 1  1 Tbsp minced Red Chilli 3.Ndimu ilokamuliwa vijiko vikubwa 2  2 Tbsp Lemon Juice 4.Chumvi kijiko kikubwa 1  1 Tbsp Salt 5.Kitunguu thomu kilotwangwa kijiko kidogo 1  1 Tbsp Minced Garlic 6.Chicken Masala(Au masala yoyote)...

Ijumaa, 6 Mei 2016

CHAI YA MAZIWA(MILK TEA)

MAHITAJI 1.Maziwa Nusu Lita  1/2 Litre Milk 2.Maji safi nusu Kikombe Kidogo cha Chai  1/2 Cup Water 3.Sukari Vijiko 3 au 4 kama unapenda sukari  3(or)4  Tbsp Sugar 4.Hiliki punje 6  6 Cardamon 5.Tangawizi iloparwa kijiko kidogo cha chai 1  1 small Tbsp Crushed Ginger 6.Mdalasini mzima vipande 3  3 pieces Cinnamon 7.Arki...

Alhamisi, 5 Mei 2016

WALI WA KUKU WA MVUKE

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Mchele wa Basmat Robo(1/4 kg)  1/4 kg Basmat Rice 2.Mafuta ya kula robo lita   1/4 litre Cooking Oil 3.Kitunguu maji kikubwa 1  1 Medium Size Onion 4.Karoti kubwa 1  1 Large Carrot 5.Pilipili Hoho(Pilipili boga) kubwa 1  1 Large Green Pepper 6.Chumvi vijiko vikubwa 3  3 Tbsp Salt 7.Uzile...

Jumatatu, 2 Mei 2016

TAMBI ZA NAZI(DRIED CHINESE NOODLE)

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Tambi (robo) mafungu 2  1/4 kg  Chinese Noodle 2.Tui Nusu Kikombe  1/2 Cup of Heavy Coconut Milk  3.Sukari Vijiko 5  5 Tbsp of Sugar 4.Hiliki 10  10 cloves of cardamon  5.Zabibu robo kikombe  1/4 Cup of Dried Grapes 6.Maji  lita 1 1 litre of Water 7.Arki Vanilla...