Jumatano, 26 Oktoba 2016

MAANDAZI YA KUOKA(MAANDAZI MAKAVU) BAKED ANDAZI

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Unga wa ngano nusu Flour 1/2 Kg 2.Sukari Kikombe cha Rice Cooker 1   Sugar 1 Cup of Rice Cooker 3.Hiliki punje 10  10 pieces Cardamon   4.Samli ya Aseel kijiko 1 cha chakula   1 Tbsp Aseel Ghee 6.Tui la nazi glasi ndogo 1   1 Glass Coconut Milk 7.Hamira Pakti 1   1 Packet Yeast MAANDALIZI/PREPARATIONS 1.Chekecha...

Jumamosi, 15 Oktoba 2016

UROJO(ZANZIBAR MIX)

Urojo ni mchanganyiko wa vyakula mbali mbali pamoja na uji uji wake katika bakuli moja. Hapa nitaeleza jinsi ya kuupika huo uji(urojo) mpaka kukamilika kwake. Asili ya urojo ni India ila kwa sasa nchi mbali mbali zina andaa upishi huu. Na Zanzibar ni mlo unaopendwa na maarufu sana.Na hii ndio aina ya urojo unaopikwa Zanzibar. Zanzibar Mix(Urojo)...