MAHITAJI/INGREDIENTS
Visheti
1.Unga wa Ngano ¼ Kg
¼ Kg Plain
Purpose Flour
2.Maziwa ya maji Kikombe
Kidogo 1
1 Small Cup Milk
3.Yai 1
1 Egg
4.Hamira Vijiko vya
Chakula 2
2 Tbsp Yeast
5.Siagi Vijiko 2
2 Tbsp Butter
6.Sukari Kijiko 1
1 Tbsp Sugar
7.Chumvi Kiduchu
Pinch of Salt
8.Mafuta ya Kukaangia
Lita 1
1 Litre Cooking Oil
Shira/Sugar Syrup
1.Sukari Kikombe Kidogo 1
1 Small Cup Sugar
2.Hiliki Ilotwangwa
Kijiko cha Chai 1
1 Tea Spoon Cardamon Powder
3.Arki Vanilla na Ice
Cream Nusu Vifuniko Vyake
½ Cap Vanilla and Ice Cream Essence( Bottle Cap)
4.Maji Robo Kikombe
¼ Cup Water
Uji wa Ngano Nzima/Whole Wheat Seeds Porridge
1.Ngano Nzima Kikombe Kikubwa 1
1 Mug Whole Wheat Seeds
2.Maji ya Kuchemshia
Water for Boiling
3.Hiliki nzima punje 10
10 Cardamon
4.Maji ya kupikia uji
Lita 2
2 Litre for Cooking the porridge
5.Unga wa ngano Kikombe
Kikubwa 1
1 Mug Plain Purpose Flour
6.Sukari Kikombe Kidogo 1
1 Small Cup Sugar
MAANDALIZI/PREPARATIONS
Visheti
1. Chunga unga kwenye
bakuli na changanya na vitu vyote vikavu yaani,sukari,chumvi
Hamira
In a large bowl,sift the flour through a
sieve. And mix with all dry ingredients remained; like yeast,sugar and salt.
2.Vunja yai weka kwenye
mchanganyiko wako
Break an egg and
add it in the flour mixture.
3.Mimina maziwa taratibu mpaka unga ushikane uweze kuukanda
Add milk little by little amount until the mixture combine together
3.Mimina maziwa taratibu mpaka unga ushikane uweze kuukanda
Add milk little by little amount until the mixture combine together
4. Kanda unga wako kiasi
cha dakika 7
Knead the dough
for about 7 minutes
5.Weka Siagi kijiko 1
endelea kukanda kiasi cha dakika 2
Add one table spoon of butter keep kneading
for 2 minutes
6.Ukipata donge laini
weka kwenye bakuli lipake kijiko cha siagi kilobakia kasha funika kwa kitambaa
kisafi au plastic wrap katika sehemu ya joto na acha kiasi cha nusu saa au
mpaka liumuke vizuri.
Once you get
smooth dough, apply the remained butter on top of it and put it into a bowl and
cover with plastic wrap or clean cloth and let it rise for around 30 minutes or
till double in size.
8.Nyunyiza unga katika
chombo cha kuekea visheti vyako
Take a tray
and add some flour into it
9.Likande donge lako
kiasi cha dakika moja kisha kata madonge madogo madogo 16
Knead the
dough for around 1 minutes and divide into 16 small dough.
10.Chukua donge
moja ingiza vidole kati kutengeneza tobo mpaka upate umbo la duara
lilitobolewa(Mfano kama Bangili)
11.Kisha zungusha duara
lako upande wa juu peleka kushoto na upande mwengine kulia mpaka kati pakutane
upate umbo la namba8
Twist your
circle dough the upper side clock wise and the lower side anticlockwise till
the center meet and form the number eight shape
12. Rudia kuzungusha kwa
madonge 15 yaliyobakia mpaka uyamalize
Repeat with
all 15 dough remained
13.Vifunike sehemu ya
joto acha viumuke kiasi cha dakika 20
Cover them and
let rise for 10 minutes
Uji /Poridge
1.Safisha ngano vizuri
na uzioshe kasha weka kwenye sufuria na maji kiasi
Remove all dirty particles in the wheat seeds
than wash them well and keep in the pot with some water
2.Weka unga na maji
kwenye bakuli na ukoroge kuondoa mabuje
In a small bowl mix plain purpose flour and
water, stir the mixture well to remove burbles
JINSI YA KUPIKA/HOW TO
COOK
Visheti
1.Weka mafuta jikoni
acha yapate moto kiasi
Heat the oil to medium heat
2.Weka kisheti kimoja
kimoja hakikisha huvipikwi sana vikibadilika rangi tu vitoe
Add visheti and once they start to change it
colour to golden brown take them out
3.Weka kwenye Tray
ulioiweka tissue au chujio
Add them to the sieve or on to the plate
which you kept tissue in it
4.Acha vipoe kiasi cha
dakika 10
Let them cool at least for 10 minutes
Shira/Sugar Syrup
1.Weka sukari,hiliki na
maji kwenye sufuria
Add sugar,cardamom and water into the large
pot
2.Acha ichemke kiasi
dakika 1 ongeza arki
Let it boil for a minute and add essence
3.Wacha ichemke hadi
ifanye mapovu na subiri dakika 3 kisha weka visheti vyako
Once starting to form burbles wait for 3
minutes then add your visheti
4.Shika sufuria yako
anza kuvipeta kasha rudisha jikoni acha kwa dakika 2
Hold the end of the pot and flip it to throw Visheti
inside the pot and then keep the pot away from the stove and then take it back to the stove for 2 minutes
5.Rudia hio hatua(4) mpaka
sukari igande kwenye visheti vyako ifanye rangi nyeupe
Repeat the above(4) procedure until Visheti coated with syrup and turn into white color
6.Acha Vipoe tayari kula
na uji,kahawa au kinywaji upendacho
Ready to serve with porridge,coffee or any
drink
Uji/Porridge
1.Chemsha ngano mpaka
ziive na zikauke maji yote
Bring to boil the wheat seeds until cooked
and dry
2.Weka maji Lita moja
kwenye sufuria acha yachemke
Add 1 litre of water into separate pot let it
boil
3. Mimina mchanganyiko
wa unga na maji ulio ukoroga mwanzo kwenye maji yanayo chemka kasha koroga
vizuri mpaka uchanganyike
Pour the mixture of flour and water in the
boiled water and stir well until mixed
4.Acha uji uchemke kiasi
cha dakika 10 kisha weka tui
Let the mixture boil for 10 minutes then add coconut
oil
5.Baada ya dakika 5 weka
sukari na hiliki na ngano koroga vizuri uji wako
After 5 minutes add sugar ,boiled wheat seeds,cardamom
and stir the mixture till combined
6.Acha kwa dakika 5 nyengine
epua na uache upoe
After another 5 minutes remove the porridge on
to the stove and let it cool
7.Tayari kula na
visheti,maandazi au mkate wowote uupendao
Ready to serve with Visheti,Andazi or any type
of bread
Angalizo;Note;
1.Unaweza kukandia tui badala ya maziwa na visheti vikawa vizuri tu
You can use coconut milk for kneading the Visheti dough instead of milk
2.Uji ukiwa mzito unaweza kuongeza maji ukiwa jikoni ukauzimua
If the porridge is too heavy and some water to dilute it before remove it from the stove
3.Unaweza kuweka aina moja ya arki au hata aina tatu tofauti kwenye shira
You can add one type of essence in sugar syrup or up to three different types
4.Ukiona visheti vimegandana sana usishtuke endelea kuvipeta kwa nguvu kidogo kisha virudishe jikoni mpaka sukari igande
Once you see the Visheti glued together keep flipping them and take the pot back to the heat till the syrup coat them
5.Hakikisha mafuta unayopikia Visheti hayana harufu yoyote mfano (yasinukie alizeti) na masafi yasiwe yamepikiwa chochote
The Oil used for frying must be clean i.e never used before and not imparting any flavor or smell.
3.Unaweza kuweka aina moja ya arki au hata aina tatu tofauti kwenye shira
You can add one type of essence in sugar syrup or up to three different types
4.Ukiona visheti vimegandana sana usishtuke endelea kuvipeta kwa nguvu kidogo kisha virudishe jikoni mpaka sukari igande
Once you see the Visheti glued together keep flipping them and take the pot back to the heat till the syrup coat them
5.Hakikisha mafuta unayopikia Visheti hayana harufu yoyote mfano (yasinukie alizeti) na masafi yasiwe yamepikiwa chochote
The Oil used for frying must be clean i.e never used before and not imparting any flavor or smell.
Furahia Uji Na Visheti Vyako.