Jumamosi, 1 Aprili 2017

VISHETI VYA NAMBA NANE VYA MAZIWA NA UJI WA NGANO(NUMBER 8 VISHETI AND WHOLE WHEAT SEEDS PORRIDGE)

MAHITAJI/INGREDIENTS  Visheti 1.Unga wa Ngano ¼ Kg   ¼ Kg Plain Purpose Flour 2.Maziwa ya maji Kikombe Kidogo 1  1 Small Cup Milk 3.Yai 1               1 Egg 4.Hamira Vijiko vya Chakula 2  2 Tbsp Yeast 5.Siagi Vijiko 2  2 Tbsp...