Jumamosi, 1 Aprili 2017

VISHETI VYA NAMBA NANE VYA MAZIWA NA UJI WA NGANO(NUMBER 8 VISHETI AND WHOLE WHEAT SEEDS PORRIDGE)

MAHITAJI/INGREDIENTS  Visheti 1.Unga wa Ngano ¼ Kg   ¼ Kg Plain Purpose Flour 2.Maziwa ya maji Kikombe Kidogo 1  1 Small Cup Milk 3.Yai 1               1 Egg 4.Hamira Vijiko vya Chakula 2  2 Tbsp Yeast 5.Siagi Vijiko 2  2 Tbsp...

Jumatano, 22 Machi 2017

BANZI LA TUI LA NAZI(COCONUT MILK BREAD ROLLS)

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Unga wa Ngano Nusu(1/2 Kg)  1/2Kg All Purpose Flour 2.Tui la Nazi Kikombe Kidogo 1 1 Cup Coconut Oil 2.Samli Vijiko Vikubwa 2  2 Tbsp Ghee 3.Sukari Vijiko Vikubwa 3  2 Tbsp Sugar 4.Chumvi Kijiko cha Chai 1  1 Tea Spoon Salt 5.Hamira Vijiko Vikubwa 2 2 Tbsp Dry Yeast 6.Ufuta Vijiko Vikubwa 2  2...