Jumamosi, 3 Desemba 2016

KEKI RAHISI YA VANILLA NA COCOA(SIMPLE VANILLA AND COCOA CAKE)

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Siagi Robo kilo(1/4 Kg)   1/4Kg Butter 2.Sukari Robo kilo(1/4 Kg)  1/4 Kg Sugar 3.Unga Robo kilo(1/4 Kg)  1/4 Kg Plain Purpose Flour 4.Mayai 6  6 Eggs 5.Arki Vanilla Kijiko cha chai 1  1 Tea Spoon Vanilla Essence 6.Cocoa Vijiko vya Chakula 3  3 Tbsp Cocoa Powder 7.Baking...