Alhamisi, 15 Septemba 2016

JUISI AU MILK SHAKE YA TENDE(DATES MILK SHAKE)

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Tende 20  20 Dates 2.Maziwa Glasi 1 na nusu  1 and 1/2 Glass of Milk 3.Karanga zilosagwa robo kikombe  Quater Cup of  Crushed Ground nuts  4.Arki Pine Apple robo kifuniko cha chupa yake  Pine Apple Essence 1/2 Cap(Caps of Pine Apple Essence Bottle) 5.Maji Ya Uvugu...