Alhamisi, 21 Julai 2016

SAMBUSA ZA KUBABUA ZA NYAMA (MINCEAD MEAT SAMOSA)

1.Nyama ya kusaga robo  1/4kg Minced Beef 2.Vitunguu maji vikubwa kiasi 3   3 medium size Onion 3.Vitunguu thomu vilotwangwa kijiko cha chai 1   1 Tea spoon  Garlic Cloves  4.Tangawizi Vijiko vya chai 2(ilotwanga)  2 Tea spoon minced Ginger 5.Pilipili ya kuwasha ilotwangwa kijiko cha chai 1(au zaidi kama...

Alhamisi, 14 Julai 2016

EGG CHOP(MINCED MEAT EGG CHOP)

MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Nyama ya kusaga kilo kasorobo(3/4)  3/4 Kg Minced Meat 2.Kitunguu maji kikubwa 1  1 Medium size Onion 3.Kerot kubwa 1  1 Carrot 4.Pilipili Boga(Pilipili Hoho) kubwa 1  1 Green Pepper  5.Pilipili ya kuwasha ilotwangwa kijiko cha chai 1  1 Tea Spoon Chopped Chilli 6.Kitunguu Thomu...